Kutoweka Data Zako Online, Hakuzuii Mitandao ya Kijamii Kuwa na Taarifa Zako
Tumehoji wanazikusanya vipi na kuzitumia vipi. Ajabu ni kwamba mpaka leo hii bado hatusiti hata kidogo kutumia hii mitandaoya kijamii.
Tumehoji wanazikusanya vipi na kuzitumia vipi. Ajabu ni kwamba mpaka leo hii bado hatusiti hata kidogo kutumia hii mitandaoya kijamii.
Ross alikuwa kijana mdogo mwenye umri dogo lakini akili nyingi zilimponza mpaka akahukumiwa vifungo viwili vya maisha bila msamaha.
Jua lilipiga uso wa Janeth na kufanya ang’ale kama malaika. Janeth, mrembo wa asili mwenye ngozi nyororo kama hariri, alikuwa amevalia gauni nyekundu la kubana lililoonyesha umbo lake la kuvutia.
Dalali huwa anadai kuchukua kodi ya mwezi mzima pale ambapo mteja anakubali kupangisha eneo husika. Si hivyo tu, bali huwa wataka kulipwa finders fee
VPN ni mtandao binafsi unaofanya mawasiliano yako mtandaoni kuwa siri, lakini je VPN unayotumia ni bora kiasi kwamba wamekupa feature ya KILL SWITCH?
AI tools zimekuwa nyingi sana, lakini inayovutia zaidi ni AI ambayo inakusaidia kupanga bajeti na kukupa ushauri sahihi wapi uwekeze.
UTT-AMIS inasaidai watu hata wenye vipato vidogo kuwekeza katika masoko ya fedha hasa wastaafu na kuweza kuwaleta faida nzuri za uwekezaji wao.
Bonds/Hatifugnani ni aina ya soko la fedha ambalo serikali na baadhi ya kampuni hutumia kukopa hela za uwekezaji kutoka kwa wananchi na wawekezaji mbalimbali.
Katika kila janga la kimataifa kunakuwepo na miningo’no na maswali yanayoleta utata juu ya kuamini uhalisia wa janga hilo na kuwa na mashaka nalo. Watu huwa wanahoji iwapo majanga haya ni sehemu ndogo ya mpango mkubwa wa kupunguza idadi ya watu duniani?
Dunia ya sasa ni kama vile tunaishi kwenye bahari ya taarifa. Kwa miaka 5 iliyopita kumekuwa na ongezeko kubwa sana la taarifa kuzidi miaka 1000 iliyopita ya mwanadamu.