Logo Inatakiwa Kuwakilisha Inachofanya Biashara Yako?
Graphics designer wako atakwambia logo yako inatakiwa iwe na sifa kuu tatu, iwe rahisi kukumbukwa, iwe ya kipekee na ifae kuwakilishwa kwenye jamii.
Graphics designer wako atakwambia logo yako inatakiwa iwe na sifa kuu tatu, iwe rahisi kukumbukwa, iwe ya kipekee na ifae kuwakilishwa kwenye jamii.
Uhusiano wa biashara na mwenye biashara ni kama uhusiano wa gari na dereva. Mfano leo hii ikiwa tayari unajua kuendesha gari, ukipewa gari kama IST utaweza kuendesha bila shida. Na ukipewa zile gari za mashindano ya Formula one uwezekano mkubwa ni hautaweza kusogea hata mita 1.