Zaidi ya Miezi 35+ Tunatoa Habari za Kweli

Tangu kuanzishwa kwake Novemba 2020, HabariTech imekuwa mstari wa mbele katika kutoa elimiu ya teknolojia kwa Watanzania.

Swahili Magazines

Tumeandika makala za teknolojia kwa kiswahili

eBooks

Vitabu vya uwekezaji na usalama mtandaoni.

  • Teknolojia kwa kiswahili inawezekana.
  • Watanzania wote kuelewa teknolojia inawezekana.

Digital Marketing

HabariTech ina wasomaji wa kweli ambao huwa tunahakikisha ujumbe umewafikia vizuri na wakaelewa. Ukihitaji tangazo lako liweze kuwafikia watu sahihi kwa wingi na ukaona matokeo chanya kwenye bidhaa au huduma zako basi kitengo cha digital marketing cha HabariTech ni sehemu sahihi ya kupata matokeo hayo. Ikiwa ni website unahitaji, matangazo ya picha, video ama maandishi, content za website na mitandao ya kijamii. Habaritech tupo kwa ajili ya kukamilisha hayo.

01

Matokeo ya Mafanikio

Kwa asilimia kubwa ya watu tuliofanya nao kazi wametoa feedback nzuri.

02

Tunakuza Biashara Yako

Ikiwa unatambulisha biashara/bidhaa kwa mara ya kwanza, Habaritech ni jukwaa sahihi kufanya hivyo.

Namna Tunafanya Kazi Kukupa Ubora

“Tunafanya utafiti yakinifu kwa kila mada na habari kabla haijaandikwa au kuripotiwa kwenye jukwaa letu. Kuanzia muda ambao habari hiyo imetolewa mpaka kujua kama chanzo chake ni cha kutegemewa na cha kweli."

  • Habari/Mada itachunguzwa kwa undani kuanzia chanzo chake.
  • Ikiwa chanzo si cha kweli na kina rekodi mbaya, habari inasubirishwa.
  • Mada za kitaalamu zinafanyiwa utafiti kwa kusoma vitabu na makala mbalimbali.
  • Tunajitahidi kutumia kiswahili fasaha na kuchanganya lugha kwenye misamiati mipya.
  • Matumizi ya misimu na rejesta yanazingatiwa ili kuendana na jamii ya kisasa.
  • Lugha ya matusi na siasa hazitumiki.
  • Kila andiko linapitiwa mara tatu na watu tofauti kabla halijachapishwa.
  • Machapisho yanakuwa kwenye website, mitandao ya kijamii au vitabu.

Unataka Kutangaza Habari ?

Fungua hii Kurasa Tuwasiliane!

Daily Blogs

Huwezani na Biashara ya Milioni 10 Kama Ilivyo

Uhusiano wa biashara na mwenye biashara ni kama uhusiano wa gari na dereva. Mfano leo hii ikiwa tayari unajua kuendesha

logos of different tech companies

Logo Inatakiwa Kuwakilisha Inachofanya Biashara Yako?

Graphics designer wako atakwambia logo yako inatakiwa iwe na sifa kuu tatu, iwe rahisi kukumbukwa, iwe ya kipekee na ifae

moon landing

Ni Kweli Marekani Walifika Mwezini?

Dunia ya sasa ni kama vile tunaishi kwenye bahari ya taarifa. Kwa miaka 5 iliyopita kumekuwa na ongezeko kubwa sana