Mkeka wa Leo wa Uhakika Surebet
8/8/2025 Leo wanangu ligi ya Portugal imeanza na kuna mechi kali kati ya Casa Pisa AC Vs Sporting CP. Kipengele kipo kwa Sporting CP. Kapewa Odd ya 1.3, lakini huyu jamaa kauza mno wachezaji sasa hivi. Alafu Casa Pia sio wa kinyongo. Hajawai kumpiga wala kutoa sare akicheza na Sporting CP. Ila sasa hivi inaweza […]