Ifahamu UTT-AMIS na Namna Inavyoweza Kukupa Faida
UTT-AMIS inasaidai watu hata wenye vipato vidogo kuwekeza katika masoko ya fedha hasa wastaafu na kuweza kuwaleta faida nzuri za uwekezaji wao.
UTT-AMIS inasaidai watu hata wenye vipato vidogo kuwekeza katika masoko ya fedha hasa wastaafu na kuweza kuwaleta faida nzuri za uwekezaji wao.
Bonds/Hatifugnani ni aina ya soko la fedha ambalo serikali na baadhi ya kampuni hutumia kukopa hela za uwekezaji kutoka kwa wananchi na wawekezaji mbalimbali.
Katika kila janga la kimataifa kunakuwepo na miningo’no na maswali yanayoleta utata juu ya kuamini uhalisia wa janga hilo na kuwa na mashaka nalo. Watu huwa wanahoji iwapo majanga haya ni sehemu ndogo ya mpango mkubwa wa kupunguza idadi ya watu duniani?
Dunia ya sasa ni kama vile tunaishi kwenye bahari ya taarifa. Kwa miaka 5 iliyopita kumekuwa na ongezeko kubwa sana la taarifa kuzidi miaka 1000 iliyopita ya mwanadamu.
Graphics designer wako atakwambia logo yako inatakiwa iwe na sifa kuu tatu, iwe rahisi kukumbukwa, iwe ya kipekee na ifae kuwakilishwa kwenye jamii.
Uhusiano wa biashara na mwenye biashara ni kama uhusiano wa gari na dereva. Mfano leo hii ikiwa tayari unajua kuendesha gari, ukipewa gari kama IST utaweza kuendesha bila shida. Na ukipewa zile gari za mashindano ya Formula one uwezekano mkubwa ni hautaweza kusogea hata mita 1.