Magongwa ya Mlipuko ni Njama ya Kupunguza Watu Duniani au ni Bahati Mbaya?
Katika kila janga la kimataifa kunakuwepo na miningo’no na maswali yanayoleta utata juu ya kuamini uhalisia wa janga hilo na kuwa na mashaka nalo. Watu huwa wanahoji iwapo majanga haya ni sehemu ndogo ya mpango mkubwa wa kupunguza idadi ya watu duniani?