stori

SEHEMU 1: Nyota ya Mrembo Aliyezikwa Hai

Jua lilipiga uso wa Janeth na kufanya ang’ale kama malaika. Janeth, mrembo wa asili mwenye ngozi nyororo kama hariri, alikuwa amevalia gauni nyekundu la kubana lililoonyesha umbo lake la kuvutia.