Kuanzisha Biashaya ya Mtandaoni na Mtaji wa Tsh. 250,000
Kwa kiasi cha Tsh. 250,000 unaweza kuanzisha biashara ya mamilioni mtandaoni. Hii ni hasa kwa Afrika ambako internet ndiko imepamba moto.
Kwa kiasi cha Tsh. 250,000 unaweza kuanzisha biashara ya mamilioni mtandaoni. Hii ni hasa kwa Afrika ambako internet ndiko imepamba moto.
Tumehoji wanazikusanya vipi na kuzitumia vipi. Ajabu ni kwamba mpaka leo hii bado hatusiti hata kidogo kutumia hii mitandaoya kijamii.
AI tools zimekuwa nyingi sana, lakini inayovutia zaidi ni AI ambayo inakusaidia kupanga bajeti na kukupa ushauri sahihi wapi uwekeze.
Graphics designer wako atakwambia logo yako inatakiwa iwe na sifa kuu tatu, iwe rahisi kukumbukwa, iwe ya kipekee na ifae kuwakilishwa kwenye jamii.