Ifahamu UTT-AMIS na Namna Inavyoweza Kukupa Faida
UTT-AMIS inasaidai watu hata wenye vipato vidogo kuwekeza katika masoko ya fedha hasa wastaafu na kuweza kuwaleta faida nzuri za uwekezaji wao.
UTT-AMIS inasaidai watu hata wenye vipato vidogo kuwekeza katika masoko ya fedha hasa wastaafu na kuweza kuwaleta faida nzuri za uwekezaji wao.
Bonds/Hatifugnani ni aina ya soko la fedha ambalo serikali na baadhi ya kampuni hutumia kukopa hela za uwekezaji kutoka kwa wananchi na wawekezaji mbalimbali.